Husika na somo tajwa,
Kama ni mfuatiliaji wa mashauri mbali mbali utagundua kuwa wakati mawakili wana toa hoja zao au kupinga hoja upande wa jamuhuri unakuwa umelemewa huwa najiuliza kuwa kwa nini jamuhuri isiwaajiri hawa wakujitegemea ambao wanaonekana kuwa mahiri…au na wao wakienda upande wa jamuhuri watalemaa…au ndiyo mtasema nimelewa?