Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Swali zuri sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji41]. Tangu nimekuja hapa duniani sijaona mtu amevaa uchi
Hahah kwani ni mdada mkuu?Kwani huyo ni ME?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana Mdogo ni bonge la mariooooJamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufreemason ni dhana tu. HAIPOHapo penyewe tayari amemuwakilisha mzee lucifer.
Ukifuatilia aina ya mavazi yanayovaliwa kwa uwakilishi wao hilo vazi lipo na hata la huyo mama kushoto kwake.
Ukipata video ya jz alipokiwa anaelezea nafasi yake wakati anavuka nafasi ya Freemasons nadhani kwenye zile lodge zao No. II utaona hizo mavazi.
NB. Kama sitakuwa nimekosea.
Ukampangie mwanaume mwenzio jinsi ya kuvaa kweli?Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah nimecheka
Kuachwa sio shida!...shida ni kuachwa huku we ni marioo, unaweza ua mtu!
Umekumbuka nini mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah nimecheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uchi nao ni aina ya nguo? Nauliza tu
HahaaJamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kina YahyaKuachwa sio shida!...shida ni kuachwa huku we ni marioo, unaweza ua mtu!
Marioo ukimmwaga anakuua, si uliona ya Leila mtoto wa hidaya pepe kalle
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaThe fact, kuachwa huvuruga akili na utaratibu wrote.
Wengi waume kwa wake, hukimbilia kutafuta replacement to compensate the gap, hapo ndio huishia kwenye vituko na majanga.
The moment they come to realize too late to restore dignity damaged.