Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mavazi kitu cha ajabu mno. Ukivaa simple maneno, ukizidisha tabu. Eneo la mavazi ktk maisha linaongoza kwa majungu na madongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kofi OlomideismJamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyu jamaa atakua anejiunga na kile chama cha illuminati. Rangi zai ndo hizo..! Hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu wanatuigizia sana nyakati hizi. Alfu huyu jamaa tangu aachane na Flora hajatulia kabisa. Kila kukicha anaposti posti vitu vya kujihami.Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087
Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima atakuwa ni Msukuma
Mavazi kitu cha ajabu mno. Ukivaa simple maneno, ukizidisha tabu. Eneo la mavazi ktk maisha linaongoza kwa majungu na madongo.
Unataka picha za nini na utajuaje kuwa ndio zenyewe?? Akila mtindi hiziHebu na nyie wekeni picha zenu hapa, tuone hayo mavazi yenu, sio kumnanga mtu ambae utashi wake ni aina fulani ya mavazi ambayo yanausitiri mwili wake.. Ningewaelewa kama angekuwa amevaa kata k, au nguo iliyochanika chanika..
Utakuwa chizi basi uweke picha purported to be u halafu usiwe wewe sasa..Unataka picha za nini na utajuaje kuwa ndio zenyewe?? Akila mtindi hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo ni ME?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Unapenda mambo ya kidini bro?,hahah.
Ndo siweki sasa ng'ombe weweUtakuwa chizi basi uweke picha purported to be u halafu usiwe wewe sasa..