Hivi Mbasha hana mshauri wa Mavazi, haya mapigo yake yanachekesha sana

Hivi Mbasha hana mshauri wa Mavazi, haya mapigo yake yanachekesha sana

Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia
View attachment 1032087

Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyu jamaa atakua anejiunga na kile chama cha illuminati. Rangi zai ndo hizo..! Hawa watu wanaojiita watumishi wa Mungu wanatuigizia sana nyakati hizi. Alfu huyu jamaa tangu aachane na Flora hajatulia kabisa. Kila kukicha anaposti posti vitu vya kujihami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...yaani kaenda kabisa kununua sijui Kushona hilo gunia la mashineni! kweli kipenda roho?
 
Hebu na nyie wekeni picha zenu hapa, tuone hayo mavazi yenu, sio kumnanga mtu ambae utashi wake ni aina fulani ya mavazi ambayo yanausitiri mwili wake.. Ningewaelewa kama angekuwa amevaa kata k, au nguo iliyochanika chanika..
 
Unataka picha za nini na utajuaje kuwa ndio zenyewe?? Akila mtindi hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa chizi basi uweke picha purported to be u halafu usiwe wewe sasa..
Ndo siweki sasa ng'ombe wewe
IMG_20190218_181405.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom