TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Jumuiya ya watu wa Mbeya ni ya kipekee sana. Watu wake huwezi kuwalinganisha na wananchi wa sehemu nyingine Tanzania.
Ufahamu wa haki zao uko juu sana, wana uthubutu wa kudai haki zao bila ya kuogopa magari ya upupi, mabomi ya machozi wala risasi za jeshi la Policcm.
Vijana wa nchi nzima wangekuwa kama vijana wa Mbeya hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.