TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Unapo amua kuihabarisha jamii juu ya jambo fulani ni mhimu ku toa summary ya story around it, kwa mtu anaesoma kwa mara ya kwanza siwezi elewa nini kimetokea hadi unafikia hitimisho lakoJumuiya ya watu wa Mbeya ni ya kipekee sana. Watu wake huwezi kuwalinganisha na wananchi wa sehemu nyingine Tanzania.
Ufahamu wa haki zao uko juu sana, wana uthubutu wa kudai haki zao bila ya kuogopa magari ya upupi, mabomi ya machozi wala risasi za jeshi la Policcm.
Vijana wa nchi nzima wangekuwa kama vijana wa Mbeya hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Kwani jombaa hujui Mbeya kinaendelea nini? Acha kuzinguaUnapo amua kuihabarisha jamii juu ya jambo fulani ni mhimu ku toa summary ya story around it, kwa mtu anaesoma kwa mara ya kwanza siwezi elewa nini kimetokea hadi unafikia hitimisho lako
Bro....Unapo amua kuihabarisha jamii juu ya jambo fulani ni mhimu ku toa summary ya story around it, kwa mtu anaesoma kwa mara ya kwanza siwezi elewa nini kimetokea hadi unafikia hitimisho lako
Ni kweli, watu wa Mbeya ni very special, ni wambeya balaa!, wanaume wake mabishoo!,wanawake wao ni kama maharage yao,ni maji mara moja!,niliwahi uliza kitu humu,https://www.jamiiforums.com/threads...li-huumba-jibu-sahihi-ni-oktoba-2020.1695829/Jumuiya ya watu wa Mbeya ni ya kipekee sana. Watu wake huwezi kuwalinganisha na wananchi wa sehemu nyingine Tanzania.
Ni kweli, hata siasa za Mbeya sii mchezo!Ufahamu wa haki zao uko juu sana, wana uthubutu wa kudai haki zao bila ya kuogopa magari ya upupi, mabomi ya machozi wala risasi za jeshi la Policcm.
Ni kweliVijana wa nchi nzima wangekuwa kama vijana wa Mbeya hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Ni kweli Mbeya ina watu wanachukulia sana kuto heshimu haki zao.Jumuiya ya watu wa Mbeya ni ya kipekee sana. Watu wake huwezi kuwalinganisha na wananchi wa sehemu nyingine Tanzania.
Ufahamu wa haki zao uko juu sana, wana uthubutu wa kudai haki zao bila ya kuogopa magari ya upupi, mabomi ya machozi wala risasi za jeshi la Policcm.
Vijana wa nchi nzima wangekuwa kama vijana wa Mbeya hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
😂😂😂Ni kweli, watu wa Mbeya ni very special, ni wambeya balaa!, wanaume wake mabishoo!,wanawake wao ni kama maharage yao,ni maji mara moja!,niliwahi uliza kitu humu
Boya kweli wewe 😂😂😂😂😂
Aisee, Bora wewe msukuma, lakini mtoto wa mjini tumekukubali
Kuna walugaluga hata aishi mjini miaka mingapi, ule ushamba haomtoki, na hao ni watu wa Mbeya
"You can take a villager out of the village, but you can't take the village out of the villager"
Yaan maji mara moja maharage yameiva huna haja ya kuongeza maji tena, au mimi sijaelewa hao wanawake kwamba ukiwatongoza mara moja tu wamekubari unaenda kuosha?wanawake wao ni kama maharage yao,ni maji mara moja!,
In Mwabukusi's voiceNi kijiji kilichochangamka
Ni ukigusa tuu!,twende!,hawana msamiati wa hapana!,you ask anything,its,yes,there is no "no"!Yaan maji mara moja maharage yameiva huna haja ya kuongeza maji tena, au mimi sijaelewa hao wanawake kwamba ukiwatongoza mara moja tu wamekubari unaenda kuosha?
ndio wazuri, hawazingui mkuu pascalNi ukigusa tuu!,twende!,hawana msamiati wa hapana!,you ask anything,its,yes,there is no "no"!
P
Mara wamebakia kukata miuno kama pwaniMbeya ni Mbeya huko ni kwa walume ndago, mkoa wa Mara ni mbwembwe tu hamna kitu
Lissu ni kama ana asili ya unyakyusani tu.Ninaowaona ni mwambukusi na mwamakula tu ndio ngangari kinoma, wengine ni kina nani? Kule singida wangepatikana kama Lissu watano hivi ule mkoa ungeheshimika na kuogopwa pakubwa, ungepelekewa maendeleo harakaharaka
SwadaktaNi kweli Mbeya ina watu wanachukulia sana kuto heshimu haki zao.
Wanakuhesmu sana ukiwaheshimu.
Lakini ukiwadharau, iwe mnyakyusa, msafwa, mpangwa au mmalila utapata shida sana
Hata 2pac alikuwa ni Mnyakyusa, AtupakisyeLissu ni kama ana asili ya unyakyusani tu.
Kwa majina yake na ubishi wake inaendana na maana ya majina yake kwa kinyakyusa.
Tundu = Utundu (vitu)
Antipasi=Twa pasi (vya chini)
Lissu = Pa lisu (magugu)
Mughwai = Umbhwigha (Ndago)