Hivi Mbeya ni nchi au mkoa? Jumuiya ya watu wa Mbeya iheshimiwe na watu wote

Halafu hizo ngumi utakazo zipata toka kwa huyo bibie ukimtosa, tena hadarani, utaniambia na kujuta kumfahamu huyo bibie.
Hizo ngumi mtapata nyinyi wapitaji na kufika, lakini kwa sisi wapita njia, unapokuta mlango wazi, ni unajipitia tuu zako na kuendelea na safari yako, atakupatia wapi hadi akulishe hayo mangumi?.
P
 
Mbeya inawasomi wengi sio kama dar es salaam ,morogoro na Dodom wanao waza vigodoro muda wote
 
Hizo ngumi mtapata nyinyi wapitaji na kufika, lakini kwa sisi wapita njia, unapokuta mlango wazi, ni unajipitia tuu zako na kuendelea na safari yako, atakupatia wapi hadi akulishe hayo mangumi?.
P
Karibu sana Mbeya, kule huwa hawauzi maliasili, kama wenzetu wa kule kanda ya ziwa, huwa wanaenjoy the experience!!
Fikiria na baridi ya huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…