Habari wakuu!!
Husika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza wakati natizama uumbaji wa mungu nikawa naangalia mbinguni wakati natafakari kuna swali likanijia ghafla nikajiuliza hivi mbingu ni aina gani ya material yaani namaanisha ni kitambaa au ni wood au plastic au rubber au ni paper au leather maana ukiitizama kwa mda mrefu inaonekana kama ni tandiko fulani!!