Hivi mbingu ni aina gani ya materials!

Hivi mbingu ni aina gani ya materials!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Habari wakuu!!
Husika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza wakati natizama uumbaji wa mungu nikawa naangalia mbinguni wakati natafakari kuna swali likanijia ghafla nikajiuliza hivi mbingu ni aina gani ya material yaani namaanisha ni kitambaa au ni wood au plastic au rubber au ni paper au leather maana ukiitizama kwa mda mrefu inaonekana kama ni tandiko fulani!!
 
itakuwa chandarua au mwamvuli mkude simba
 
Kumbe huwa unaiona mbingu?! Zile si ni utitiri wa nyota, au ndio mbingu hiyo?
 
Unachokitazama na kukiona angani ni mawingu ambayo yanaakisi maji ya bahari.
 
Kama watu wameanza kuziona mbingu, basi tuna safari ndefu.
 
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha aise kuona mbigu sijawahi sikia hata nabiii huhuhuuuuuu
 
Back
Top Bottom