Labda yanayotoka Bonite..haya ya Dar Kwanza yana chumvi na ni mabaya..yanakalishwa na Uhai ya Bakhressa.Jibu ni moja tu - ubora !
Hayana chumvi kama hayo mengi mengine
Mbona hata Hill water ni mchaga, dhana ya uchaga na ukabila unaweza kuiondoa hapo. Njoo na hoja yenye mashiko zaidi.Kiukweli maji ya kili hua ni mbovu sana wameyachakachua mno..sema brand ya jina..pia wachaga wezi wananunua tenda kwa kuhonga pesa ili wauze maji..ila kiufupi bora ninywe maji ya mto.
#MaendeleoHayanaChama
Wacha weee !!!Kiukweli maji ya kili hua ni mbovu sana wameyachakachua mno..sema brand ya jina..pia wachaga wezi wananunua tenda kwa kuhonga pesa ili wauze maji..ila kiufupi bora ninywe maji ya mto.
#MaendeleoHayanaChama
Hahaha..bila kusahau dasani...Maji kutwa nzima uhai na afya yanasukumwa kwenye mikokoteni hapana tusifike mbali kidogo wakiacha kilimanjaro watumie Dew Drop au Jambo kidogo
Hata dasani yako poaMaji kutwa nzima uhai na afya yanasukumwa kwenye mikokoteni hapana tusifike mbali kidogo wakiacha kilimanjaro watumie Dew Drop au Jambo kidogo
Kweli kabisa Hill water yako vizuri sijui wanakwama wapi kwenye advertisementMaji matamu Sana . Huo uhai hayana yofauti ni viroba. Package na quality ya maji hayana mpinzani .
Yana taste nzuriDew drop maji kutoka ufipani ...wako vizuri Sana...
Kilimanjaro kinachoibeba ni brand iliyozoeleka kuonekana inatumika katika matukio makubwa, nje kidogo ya maada, kwemye makongamano ya katiba makamanda huwa mnatumia maji gani ? 😁Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF , pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau , Hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro.
Haya maji ya Uhai , Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kichaa wako alikuachia tumbo na bado hujaenda kulishusha tu?Hivi si kuna kichaa aliwaamuru hizi taasisi za umma watumie maji ya Uhuru?
Kwahiyo ndio kusema Watanzania wameamuwa kumkataa shetani na mambo yake? [emoji12][emoji12]
Wanangu wa AfyaaWanangu wa Hill
Chupa laini na kizibo kigumu kukifungua inabidi itumike nguvu,halafu wanayajaza hadi juu bila kuacha nafasi!unamkuta mtu kashika chupa imepindapinda huku anavuja maji puani na kifua kimeloa!Hayo maji mengine chupa kwanza zinakele kama nini sijui