Mfafanulie akuelewee,Jiposition binti… utapewa vyote!.. Tena bila kuomba..
Sure mimi kama mwanaume pia napenda mwanamke anaejikubali ,wadada wanafeli hapo nakujiona vidume.Jiposition binti… utapewa vyote!.. Tena bila kuomba..
Ngoja nimuulize Mama Mwana 😆😀 Mama Mwana alinikataza
[emoji3] sawa ngoja ajeNgoja nimuulize Mama Mwana