Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya kutongozwa wao. Acheni kuvuka mipaka.
Wanataka tutoke na wake zao au, kusanyiko limejaa watu wa rika nyingi wao wanaongea udwanzi habari za vijiweni ambazo hawazijui. Eti mademu wasitoe namba zao za simu tukiwatongoza, hivi hii ni haki kweli, ndio utumishi gani huo wenye husda za kizamani hivi?
Eti mchungaji anazuia mademu watubanie kutupa namba za simu fasta, wasikubali kukubali vocals tukichati nao WhatsApp, hivi wanataka tuwasoundishe kwenye madhabahu yao.
Wachungaji msijifanye mnajua, wengine hata Kwa lugha na mavazi ni washamba tu, ila wanajikuta sana hawa wanajua kila kitu.
Wapambane na bible na jumbe za kwenye bible huku kwenye pisi na mbususu wasituharibie mood, waache tufanye yetu, zizi na bustani ya Eden vilishavunjika na network na data sio kama zamani.
Wachungaji Baki kwenye madhabahu huku kwenye mataifa mtuache tuishi maisha yetu.
Kuna mchungaji kanikera eti anakataza mademu wasitupe namba za simu kwa mara moja anahimiza watuzungushe hata kutoa namba za simu.
Mungu gani mwenye wivu na yasiomhusu. Wachungaji msivuke mipaka, mtuache Acheni kuharibu mood zetu.
Ni hayo machache tafadhari.
Kama nanyi mnazo kero zenu tushirikishane.