Hivi mbona wanamichezo hatuteuliwi?

Hivi mbona wanamichezo hatuteuliwi?

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
 
Labda limedhaniwa ni Kundi la Fools tu.
 
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭

Anzeni kujipendekeza kama wenzenu.
 
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
Tatizo elimu...
 
Tatizo lenu hamtumiki/hamjitumikishi kuwapigia promo wanasiasa (ccm). Au nasema uongo?
 
Mbele mwananchezo Ni mastar wakubwa..cheki akina lebron, Mayweather,Ronaldo,Tiger Woods.

Hapa bongo wachezaji wanadharauliwa Tu...nilishakutana Na Sapong Bar wadada hawamshobokei nayeye anaomba bia
Kwa kile kiwango nani amshobokee
 
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha[emoji2960]
Mkuu kuna mwanamichezo yoyote Tz mwenye elimu inayoeleweka hata kama aliiba vyeti kama Bashite?
 
Wapo wengi...mfano,Simba yupo Injinia Luhanga....shule safiii
 
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
Hii ni nchi ya wachekeshaji. Hiyo michezo haichekeshi na haina sifa za sanaa.
 
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭

Twaha Kiduku DC Arumeru

Jonas Mkude DC Handeni

Endelea
 
Back
Top Bottom