From the archives: Kenyans voted ugliest people in AfricaMidada mitanzania haina sura. Sura ngumu kama ya kiume vile.
Acha kukwepa swali.......Kenya kila mtu anaoa anakotaka Ila tunashangazwa Na mastaa wa Tz kila mara matafuta nje. Hivi hamna warembo huko Tz?That shows how Tanzanians are open minded and diversed without borders nyie kama ni Mkikuyu lazima aoe Mkikuyu
Take a lesson
Kama mabinti wa kitanzania watakua hivyo usemavyo hao wa kikenya watakua mavempireMidada mitanzania haina sura. Sura ngumu kama ya kiume vile.
Jibu zuri hiliThat shows how Tanzanians are open minded and diversed without borders nyie kama ni Mkikuyu lazima aoe Mkikuyu
Take a lesson
Hivi Msanii mkubwa kwenu mnayempenda amechagua kuoa vampire? Hivyo ndivyo unavyojaribu kusema?Kama mabinti wa kitanzania watakua hivyo usemavyo hao wa kikenya watakua mavempire
Nitafutie wanawake wa kikenya waliokaa hiviAcha kukwepa swali.......Kenya kila mtu anaoa anakotaka Ila tunashangazwa Na mastaa wa Tz kila mara matafuta nje. Hivi hamna warembo huko Tz?
.Nitafutie wanawake wa kikenya waliokaa hivi View attachment 750568
Mkabila utamjua tu! Ana mawazo finyu siku zote!Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.
Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
mbona wengi tu wameoa bongo .Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.
Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
Yaani watu watatu kuoa nje ndio wasanii wakubwa wengi?hivi nyie mbajua bongo kuna wasanii wakubwa wangapi?That shows how Tanzanians are open minded and diversed without borders nyie kama ni Mkikuyu lazima aoe Mkikuyu
Take a lesson
Ndio maana Tz ni LDC...beauty behind the brains.ππππNitafutie wanawake wa kikenya waliokaa hivi View attachment 750568
mbona wengi tu wameoa bongo .
Afande sele
Prof Jay
Bitchuka
Marijan Rajab
Kinguti
Juma nature
Inspekta Haroun
Dogo janja
Isa Matona
Jhikon man
Kimbuteh
Wengi mno wameoa hapa nyumbani kwahuonmfano wako wa watu watatu futa hilo nenonwengi
That is not even approaching this normal chic in Tanzania standards and she is not even celebrity.
Sikutafutii aliyekaa hivo, nakupa aliye mrembo mara 100 zaidi. Huyu hapa.....muulize Alikiba akuelezee mambo yake.View attachment 750572