Hivi mbona wasanii wakubwa wa Bongo hawaoi nyumbani

Hivi mbona wasanii wakubwa wa Bongo hawaoi nyumbani

mbona wengi tu wameoa bongo .
Afande sele
Prof Jay
Bitchuka
Marijan Rajab
Kinguti
Juma nature
Inspekta Haroun
Dogo janja
Isa Matona
Jhikon man
Kimbuteh
Wengi mno wameoa hapa nyumbani kwahuonmfano wako wa watu watatu futa hilo nenonwengi
Dogo janja ameoa au ameolewa????
 
Mapenzi hayana mipaka popote unaweza kupenda.....

Pia wanawake wa Tanzania maringo yamezidi sana
 
Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.

Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.

Hata mimi demu wangu ni Mkenya, hivyo nitajibu, kwangu siko na demu wangu kwa sababu ni foreigner au sijui kuna shida na Mademu wetu wa TZ, hapana kwanza Wanawake wa Tanzania ni viumbe wazuri na wakarimu sijawahi kuona tangia nizaliwe Duniani hii, lkn niko na demu wangu kwa sababu ndiye niliyekutana naye wakati na muda muafaka, angeweza kuwa MTZ pia au hata Msumbiji!
 
Vijana wameamua kuendeleza undugu wa Afrika Mashariki kwa vitendo..

Ni muda muafaka sasa wa kuunganisha Afrika Mashariki kwa vitendo..

Ikiwa ni pamoja na kuoa na kuoleana miongoni mwa wananchi wa jumuiya hii..
 
Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.

Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
wewe jamaa mk000 na mwasit you are just a product of a burst condom from a failed abortion.
Kwanza kwa thread hii sizani hata kama una mtoto wakuzaa. Mwanaume mzima kama wewe kuja na mada za uswahili ni ushoga.
Mbona JF Konaige kaowa muhindi ?? Mbona mke wake Uhuru ana asili kutoka Germany ??
Wazungu wangapi wameowa Africa ??
You are just another zero brain.
 
Back
Top Bottom