NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Let's picha za Watanzania acha kuiba picha Mtandaoni. Hivi hiyo environment unaona ni ya Tz?That is not even approaching this normal chic in Tanzania standards and she is not even celebrityView attachment 750583
Hawa wanapatikana hukoNitafutie wanawake wa kikenya waliokaa hivi View attachment 750568
Dogo janja ameoa au ameolewa????mbona wengi tu wameoa bongo .
Afande sele
Prof Jay
Bitchuka
Marijan Rajab
Kinguti
Juma nature
Inspekta Haroun
Dogo janja
Isa Matona
Jhikon man
Kimbuteh
Wengi mno wameoa hapa nyumbani kwahuonmfano wako wa watu watatu futa hilo nenonwengi
ameoaDogo janja ameoa au ameolewa????
Seriously 33+yrs kwa 24yrs????ameoa
Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.
Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
nin shida hapo?hata Mtume S.W.A wetu alimuoa Bi Kadija kwa almost umri huo huo 25 kwa almost 40 ya Bi Khadija!Seriously 33+yrs kwa 24yrs????
Ukiona mtu anaeombwa ushauri na Mwaswasit jua huyo IQ yake yamashaka sana.Inanishangaza sana Mzee mzima kama wewe kujadili upuuzi wa namna hii ,kwahili sijaona utofauti wako na madada wa uswahilini
wewe jamaa mk000 na mwasit you are just a product of a burst condom from a failed abortion.Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.
Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
Ungekosa kwenye mada nyepesi kama hii ningeshangaa.Ndio maana Tz ni LDC...beauty behind the brains.ππππ
Ukishikwa pabaya unaanza matusi.Inanishangaza sana Mzee mzima kama wewe kujadili upuuzi wa namna hii ,kwahili sijaona utofauti wako na madada wa uswahilini
Huyo bibi harusi aliyevaa nguo nyekundu amejipodoa kupita kiasi. Make-up iliyopitiliza inamfanya mwanadada anafanana kama cartoon, kama mke wa sponge bob.Nitafutie wanawake wa kikenya waliokaa hivi View attachment 750568
YoooooMahari mumelipa shilingi ngapi, halafu mbona hakutupia walau show hata moja.
Mh yani alikiba kaenda kuoa ilo jini Demu anasura kama mafia all gangster.
Sikutafutii aliyekaa hivo, nakupa aliye mrembo mara 100 zaidi. Huyu hapa.....muulize Alikiba akuelezee mambo yake.View attachment 750572