NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Haiya hata AY, by the way I remember he married a Rwandese.Wanajifanya humu kumbe kule wanaumia kweli. Mithread imejazana wakiulizana mbona kamchagua Mkenya.
Hivi Kiba hakuona watoto wazuri TZ?
Kila mara wamo humu kujichocha eti wana warembo. Kutotembea ni ugonjwa.Haiya hata AY, by the way I remember he married a Rwandese.
Comments kwenye hiyo thread zimeniacha hoi, kuna mmoja amesema "Ally Kiba anajua Kunguru hafugiki"
Reason,Diamond Platinum alifuata Mganda, japo wamezinguana maana jamaa anashusha suruali fasta kwa madem.
King Kiba naye ameamua kuoa toto la Kikenya, lenyewe supa, yaani hao wasanii wawili ndio kila kitu Bongo kimziki.
Kuna nini, mbona waamue kuvuka mipaka ya nchi likija suala la ndoa.
Wewe unachekesha, eti kenya kila mtu anaoa anakotaka, watz wakioa dada zenu mnaanza mapovu!Acha kukwepa swali.......Kenya kila mtu anaoa anakotaka Ila tunashangazwa Na mastaa wa Tz kila mara matafuta nje. Hivi hamna warembo huko Tz?
Hujui huyo sasa hivi ni mtanzania? Wewe sijui vipi.
Sikutafutii aliyekaa hivo, nakupa aliye mrembo mara 100 zaidi. Huyu hapa.....muulize Alikiba akuelezee mambo yake.View attachment 750572
Tunadumisha ujirani mwema, jirani tumekuandalia Wema Sepetu tena tutakufanyia harusi ya kitaifa. MC Eric Omondi
Jirani ukiweka ndani scandals unazisahau unaangalia msambwanda ule. Wema is cute the only problem with her is acting childishLakini dah Wema Sepetu kuna jinsi huniacha hoi, najikuta nikitamani nipate fursa hata ya kumsemesha, kuna siku nilisafiri naye kwenye Fastjet, tatizo nilikua nimebanwa na timeline za kikazi, nilitaka nimpe vijimaneno maneno ila bouncer wake naye akawa mzinguaji, yaani kaziba hataki asogelewe.
Japo huyo Wema ana scandals scandals hadi zinasababisha wanaume wakinai....lakini analipa hebu muone hapa
Jirani ikiwezekana ndani scandals unazisahau unaangalia msambwanda ule. Wema is cute the only problem with her is acting childish
Ukimchambua sana kuku huwezi kumla mkuu, ninaona wewe si mtakaji.Kwanza kuna ile scandal ya maongezi yake na Mbowe kwa simu hadi nikapata wivu, tatizo analiwa sana na who is who in Tz hadi inaboa...hehehe
Ila huo msambwanda wake....aisei inabidi kuyasahu mengine yote
Reason,
Wadada wengi wakenya huvutiwa sana na vijana Tz
Hata Mimi Nina mademu wawili hapo Nai,, na mmoja nimekutana nae msa january japo sijafanya recruitment,
Kwa kweli huwa tunawabamba sana Dada zenu na huwa hawawezi kujizuia,
Unlike Many Kenyans like you, We are Good Men, We love and entertain them and we know how to uncover their needs,