Hivi mbona wasanii wanapenda sana kuandikwa magazetini?

Hivi mbona wasanii wanapenda sana kuandikwa magazetini?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Hivi mbona wasanii wengi wanapenda sana kuandikwa magazetini, kuna wengine wanaonga vyombo vya habari huku wengine wakijitaidi kutengeneza skendo mradi tu watokee magazetini.

why wanapenda kuandikwa sana?
 
Sababu hawana akili yakufanya kazi ili kazi zao ziwaongele,wanaakili yakugombana kuibiana wapenzi,kuiba wapenzi wawenzao,kuharibu nyumba za wenzao na kwakumalizia wengi wao n Ma joka ya mdimuni au wana uhasidi wa nyoka...
 
Wasipofanya drama vituko uhuni na skendo za ajabu watapotea mapema kwao only skendo ndo zina wa boost na sio kazi.
 
Its part of publicity sio mbaya. The more wanavyoandikwa the more we notice them. Very normal
 
Hahaha we mpe kichwa aanze kutuletetea swaga kama za le mbululaz.

Ha ha ha si ndio vizuri? Dah...nikikumbuka hii kitu sina mbavu!
 

Attachments

  • 1430231145519.jpg
    1430231145519.jpg
    41.2 KB · Views: 69
Back
Top Bottom