Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha si ndio vizuri? Dah...nikikumbuka hii kitu sina mbavu!
Hahahaa hii kitu ilinipa bani kule Ig. Duu!
Wewe unayepost daily utumbo tusemeje..
Ha ha ha tena life ban!
Na we we je unaita utumbo kwa sababu unataka awe ana kisifia upendacho kwa vile hafanyi ndo wasema hivo ndo maana ya freedom of expression hata katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inaruhusu.
na wewe ushakuwa maarufu kwa kuuliza maswali ya kipumbavu