lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
kwa sababu ni wasanii na intention kubwa ni kujulikana... Sasa utajulikana kwa kujificha chini ya uvungu?
kuna wengine wanaongoza kwa kuandikwa aiseeeeee
watu wana nyota zao, ukiona mtu anaandikwa sana ujue ana nyota kali
Wewe unayepost daily utumbo tusemeje..
Anavyopenda umaarufu huyu angekua ni msanii angekua ni walewale..
Wewe unayepost daily utumbo tusemeje..
Its part of publicity sio mbaya. The more wanavyoandikwa the more we notice them. Very normal
Anavyopenda umaarufu huyu angekua ni msanii angekua ni walewale..
Hebu muacheni ndugu yangu lukelo sakafu.Huoni keshakua star kimtindo?
mkuu mi nipo shamba huku nalima umaarufu wapi na wapi?
Hebu muacheni ndugu yangu lukelo sakafu.Huoni keshakua star kimtindo?
Hahaha we mpe kichwa aanze kutuletetea swaga kama za le mbululaz.