misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
KweliSio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliSio kweli
Nakuuliza wewe umechangia nini kwenye harakati za kupinga tozo?Kuchangia? Sijakuelewa
Kweli tupuUnakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh...
Kwanini wewe usiwaambie serikali?Kukah kimya kipindi chote hcho bila kutoa tamko la kuwaambiwa serekali waache ubabe na unyonyaji kupitiliza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mbowe ni mwamba haswaWalau yeye kajaribu.
Watz sie ni waoga mno. Ni wachache sana wanaojiamini.
Umeandika ukweli mchunguUnakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu...
Angalia comment za kupiga tozo au ukitaka nichangie vipi?Nakuuliza wewe umechangia nini kwenye harakati za kupinga tozo?
Huwezi kutetea majitu consciousness yao kama sacks of potatoes, tuko hivyo, amejitoa mhanga sana lakni magunia haya ya viazi ulaya yanamenyana kwenye gunia bila wasiwasiUnakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu!
Kwangu mimi malalamiko yote hapo juu nimebaini hayana mashiko na ya kipuuzi hakika! Hivi Mbowe huyo aliyepitia magumu yote yale pamoja na kuhifadhiwa jela kwa ajili ya kuwasemea/kutusemea, ya nini tumlaumu kwa ukimya wake leo baada ya anaotutetea, kutokuwa na haja ya kutetewa?
Kwamba yeye aendelee kuumizwa kwa ajili yetu siye wajinga? Ujinga kabisa!
Mbowe kaa kimya na endelea kula raha na familia yako. Sisi ulioamua kututetea bado hatujielewi na achana na sisi, bali watawala wakikuletea asali nashauri ilambe kwa juhudi zote.
Mtu kama wewe unajiita mjanja kumbe fala,Kesi ya UGAIDI imekuwa kitanzi kwake kukosoa mambo ya nayo endelea ya TOZO... Maana wamemshika pabaya, akikosoa kesi inafufuliwa.
Wewe huwezi weka presure? Mbowe anavuta Oxygen tofauti na unayo vuta au ni hii hii? Kwamba Wazazi wako walikuleta Duniani ili mwanaume mwingie akutetea? Jinga sanaMbowe amepigwa "Rope A Dope".
Kachezewa kama pawn wa kumsafisha Samia ili Samia aonekane anafanya maongezi na wapinzani, wakati hakuna mabadiliko yoyote.
Kisha Mbowe hawi muwazi, anawaasa wanachama wake wawe na subira, kashindwa hata kuweka pressure mikutano ya hadhara iruhusiwe na viongozi wa CCM.
Wewe huna Mdomo mkuu? Au ni kwamba ulikuja Dunia kusemewa? SijaelewaKukah kimya kipindi chote hcho bila kutoa tamko la kuwaambiwa serekali waache ubabe na unyonyaji kupitiliza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo unakuta wanalalama wapinzani nchii bado sana si kama wapinzani kama wa Kenya.Haters wa Mbowe ni wale akili zao zina amini kwamba jukumu la kuleta mageuzi hufanywa na mtu au kundi fulani pale Mambo yakiwa tofauti na mitazamo yao huhisi wamesalitiwa
Sawa mama mdogoMtu kama wewe unajiita mjanja kumbe fala,
Mimi najibu swali la kumhusu Mbowe.Wewe huwezi weka presure? Mbowe anavuta Oxygen tofauti na unayo vuta au ni hii hii? Kwamba Wazazi wako walikuleta Duniani ili mwanaume mwingie akutetea? Jinga sana
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Unakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu!
Kwangu mimi malalamiko yote hapo juu nimebaini hayana mashiko na ya kipuuzi hakika! Hivi Mbowe huyo aliyepitia magumu yote yale pamoja na kuhifadhiwa jela kwa ajili ya kuwasemea/kutusemea, ya nini tumlaumu kwa ukimya wake leo baada ya anaotutetea, kutokuwa na haja ya kutetewa?
Kwamba yeye aendelee kuumizwa kwa ajili yetu siye wajinga? Ujinga kabisa!
Mbowe kaa kimya na endelea kula raha na familia yako. Sisi ulioamua kututetea bado hatujielewi na achana na sisi, bali watawala wakikuletea asali nashauri ilambe kwa juhudi zote.
Hakuna kitu km hikiKesi ya UGAIDI imekuwa kitanzi kwake kukosoa mambo ya nayo endelea ya TOZO... Maana wamemshika pabaya, akikosoa kesi inafufuliwa.