Hivi mchango wa madawati unaenda wapi?

M.Kwidohya

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
61
Reaction score
7
Mwana jf nimekaa na kutafakali but sipati jibu labda sina uwelewa wakutosha wa kuchanganua hili jambo naitaji kuelimishwa kwa hili
1.hivi pesa za mchango wa madawati unaenda wapi au unatumika kwa maswala gani mengine kwa sababu toka mi na soma paka leo hii hayo madawati bado ya nunuliwa tu wapi ya lipo mbna bdo yapo yale yale ya zamani?
2.pesa ya twicheni je hili lipo kwenye mtahala wa elimu Tanzania kama laa wapi wamepata hiyo ruksa na nini umuhmu wa twicheni kama yeye ndie mwalimu wa pindi nini sababu ya hyo twicheni kwnini asifundishe kwenye kipindi darasani mi nachojua twicheni mtu unasoma kukava topic
3.hivi wa maofisa elimu awaoni watoto wanachoteshwa maji adi saa3 asubuhi au ndio mwl atakava kwenye mda wa twicheni?
4.jamani adi darasa la kwanza anasoma twisheni ya kweli jamni?
 

Ndio maana CDM wanataka michango kama hii ifutwe. Nakumbuka kipindi kile nipi Ukonga Primary, walimu walikuwa wanakomaa na michango sana, usipolipa unarudishwa nyumbani.
 
hii michango inaimarisha ccm,muulize Ritz yupo huku jamvini atakuambia
 
Inasaidia kuboresha maslahi ya walimu ili wanafunzi wengi zaidi waendelee kufeli!
 
tanzania kwa sasa hatuna serikali, hatuna amani, elimu ni zero kabisa, kwa kifupi kila sector inanuka rushwa, ufisadi, nk..
 
Tulipo ni pabaya sana people hivi huko mikoani si ndio balaah
 
lnanunulia skafu ya mwigulu madelu tarutaru laana nchemba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…