Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Research yako umefanya wapi?Kuwa Mechanical Engineer ni kama kuwa Rais wa nchi, hizo kozi zingine ni kama wizara tu. Ukisoma hiyo dunia ni yako maana una uwanja mpana wa kufanya chochote.
We fala hakuna chuo tz zaid ya udsm.na hiyo koz udsm ndo jikon.baada ya kutemwa udsm unaleta taarabu.Mkuu sikushauri ukasomee kozi yoyote ya science(note Uhandisi na afya) UDSM sababu wame base sana kwenye theory na hawana vifaa vya kutosha so utatoka umemeza theory tu na prac zer0 labda kama unataka kuwa mwalimu mzuri wa course yako [emoji1]
Ni pembe za ndovuJe MTU wa pgm anaweza soma hii
Je ina ajira?
Je ugumu wake ukoje
Na idadi gani wanachukua hii kozi
Vyuo gani kozi hii inakutwa
Msaada jamani