Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

unauliza ili zikusaidie nini? kaulize lumumba.
 
Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani?
Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho?
Kama hawazihatibu huzipeleka wapi?

mimi nadhani ni wakati muafaka kwa wanasayansi wa china sasa kuchakachua meno au pembe za ngombe ili zifanye au zitumike kwenye malengo yale yale ya pembe za ndovu kwani ngombe kila siku zinachinjwa nA pembe zake huwa zina baki tuu
 
Mkuu biashara kuu c kutengenezea product za urembo.....pembe hizo ni dawa nzuri sana kuongeza nguvu za kiume nadhani unajua jinsi gn watu walivyo desperate kupata hizo dawa

eee bhana eee !
 
Hapa kinajadiliwa meno au pembe za tembo?
 
Mkuu biashara kuu c kutengenezea product za urembo.....pembe hizo ni dawa nzuri sana kuongeza nguvu za kiume nadhani unajua jinsi gn watu walivyo desperate kupata hizo dawa

Mwenzio anaulizia meno, wewe unazungumzia pembe.
 
Moja ya kazi yake ni kurudisha nguvu za kiume, nimepata oda kwenye nchi 1 kusini wanataka niwapelekee hata jino moja tu ila sijui ntayapata wapi?

m-pm katibu mkuu wa ccm , kinana.
 
Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani?
Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho?
Kama hawazihatibu huzipeleka wapi?
hivi mkuu ni meno ya tembo au pepe za tembo...tuwekane sawaa kwanza
 
Hapa kinajadiliwa meno au pembe za tembo?

aise kiswahili ni lugha tajiri inamaana waandishi wetu hawajui kwababu leo utasikia meno ya tembo kesho utasikia pembe za ndovu sasa hapa nashindwa kuwaelewaga je meno ni pembe na je ndovu ni tembo?
 
aise kiswahili ni lugha tajiri inamaana waandishi wetu hawajui kwababu leo utasikia meno ya tembo kesho utasikia pembe za ndovu sasa hapa nashindwa kuwaelewaga je meno ni pembe na je ndovu ni tembo?

Kweli kabisa,au ni ndovu za tembo!
 
Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani?
Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho?
Kama hawazihatibu huzipeleka wapi?
inatengenezea dawa za nguvu za kiume na kurefusha pia
 
Tembo hana Pembe!!

mkuu tembo au kwa jina jingine ndovu ana pembe mbili,izo pembe mbili ni meno chonge , ikumbukwe tembo ana meno 28 , yaani 26 ndani na mawili yanayochoma fizi na kutokea nje,ayo ndo yanaitwa pembe lakini pia ni meno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…