Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

siyo kweli, jamaa hakuwa mviziaji alikiwa anakokota mpira ni balaa. alikuwa anakatisha kwenye msitu wa mabeki wakati hakuna yellow, hakuna sub na mpira ni mzito. alikuwa ni gwiji wa kukwepa viatu.

Uko sawa mkuu ila kila mmoja ni bora kwa zama zake...
 
Messi amzidi Pele kwa lipi? huyo mtangazaji atakuwa alitoroka mirembe aiseee.
 
DIEGO MARADONA ndiyo the greatest player of all- time IMO

Tafuta hizi game:

Barcelona Vs Madrid- 1983
Barcelona Vs Bilbao- (same year I think)
Argentina Vs England- 1986..
Argentina Vs Belgium- 1982
Napoli Vs Milan- 1988 na zingine kibao.

Alifunga goal dhidi ya England mwaka 1986, ambalo ndiyo linatambulika kama "goal of the Century"(kama ni mvivu wa kutafuta Full recorded matches, unaweza ukaliangalia Youtube) alikimbia na mpira kwa umbali wa yard 60+ mpaka kwenda kufunga, akiwapita wachezaj kibao wa England (5-6), nadhan Messi alishawahi fanya hivyo dhidi ya Getafe (??)..ilikuwa ni Getafe nadhani.

The difference is Maradona wakat yupo kwenye his prime hakukuwa na wide medias coverage, twitter, facebook, instagram, well and advanced soccer forums, inshort hakukuwa na social networks coverage ilikuwa ndogo sana wakat ule..Ronaldo and Messi are enjoying matunda ya technologcal advancement (hasa hasa katika upande wa social networks)..
 
messi ameisadia nini timu yake ya taifa?Messi mpaka atastafu soka haja gusa makombe matatu ya dunia kama Pele.
wewe hujui.messsi timu yake kaisaidia nn npira umeanza shabikia juzi
 
Messi anacheza zama za promo na biashara huku akikabiliana na wachezaji dhaifu zaidi yake bila kusahau ulinzi toka kwa refa aliyepokea maelekezo toka kwa Blatter na co wake. Huyo mtangazaji anaendeshwa na ushabiki tu. Laiti angecheza zama za Romario,Batistuta na Italia yenye ukuta wa chuma huku refa hana ulinzi wa kulinda foward hizi asingebahatisha kama afanyavyo sasa.
 
ukuta wa chuma ukoje
 
Kweli mpira mzuri ulikuwa zamani,timu kuanzi kipa beki wote wako vizuri, ulikuwa ukiangalia ligi kama ya itali beki zilikuwa zinakaba hadi kivuri, wachezaji walikuwa wanasifika na unawaona kweli hodari wakina nesta,canarvalo,jamp stam,hiero,roberto carlos,cafu hawa watu walikuwa wakikukaba ilikuwa shughuli ipo sizan kama hawa watoto wenu wa sasa hivi wanaocheza na watu ambao hawana sifa za mpira wange tamba kipindi hicho,marefa wanawabeba makupuni yanaingila kwenye utowaji wa tuzo ili wapate kuuza.
 
Hawa wamecheza zama tofauti.kuwalinganisha ni kuwakosea haki.Mwingine alicheza zama ambazo ukiumia matibabu yake yalikuwa sio ya kisasa kama leo.Mwingine kacheza ambapo mpira ulikuwa wa kibabe hakuna kumlindastar.Kila mtu ni mzuri kwa wakati wake
 
Mabeki wenyewe siku hizi wako wapi?
Messi huyu huyu alipigwa pini ya kufa mtu na Walter Samwel nusu fainali ligi ya mabingwa kati ya Inter na Barca
 
Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni bora zaidi.
Maoni ya mtangazaji tu hayo,kwa maana kuna wanaoamini Ronaldinho ni zaid yao wote pia.
 

Mkuu Roberto Carlos huyu huyu wa Brazil!? Embu ingia Youtube uone Messi alichowafanya yeye na mwenzio Cannavaro wakiwa Madrid.
 
Messi kacheza kipindi Roberto yupo kwenye form au Robert anayeeelekea ukingoni?
 


umeandika uozo gani hapo mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…