kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
wabongo bana yani umeulizwa swali baada ya kujibu nawe unauliza swali
mzungu bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wabongo bana yani umeulizwa swali baada ya kujibu nawe unauliza swali
wabongo bana yani umeulizwa swali baada ya kujibu nawe unauliza swali
Mbona giroud wangu anakosa hadi offside
siyo kweli, jamaa hakuwa mviziaji alikiwa anakokota mpira ni balaa. alikuwa anakatisha kwenye msitu wa mabeki wakati hakuna yellow, hakuna sub na mpira ni mzito. alikuwa ni gwiji wa kukwepa viatu.
kamzid kwa mengi tuMessi amzidi Pele kwa lipi? huyo mtangazaji atakuwa alitoroka mirembe aiseee.
kamzid kwa mengi tu
wewe hujui.messsi timu yake kaisaidia nn npira umeanza shabikia juzimessi ameisadia nini timu yake ya taifa?Messi mpaka atastafu soka haja gusa makombe matatu ya dunia kama Pele.
ukuta wa chuma ukojeMessi anacheza zama za promo na biashara huku akikabiliana na wachezaji dhaifu zaidi yake bila kusahau ulinzi toka kwa refa aliyepokea maelekezo toka kwa Blatter na co wake. Huyo mtangazaji anaendeshwa na ushabiki tu. Laiti angecheza zama za Romario,Batistuta na Italia yenye ukuta wa chuma huku refa hana ulinzi wa kulinda foward hizi asingebahatisha kama afanyavyo sasa.
Maoni ya mtangazaji tu hayo,kwa maana kuna wanaoamini Ronaldinho ni zaid yao wote pia.Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni bora zaidi.
Kweli mpira mzuri ulikuwa zamani,timu kuanzi kipa beki wote wako vizuri, ulikuwa ukiangalia ligi kama ya itali beki zilikuwa zinakaba hadi kivuri, wachezaji walikuwa wanasifika na unawaona kweli hodari wakina nesta,canarvalo,jamp stam,hiero,roberto carlos,cafu hawa watu walikuwa wakikukaba ilikuwa shughuli ipo sizan kama hawa watoto wenu wa sasa hivi wanaocheza na watu ambao hawana sifa za mpira wange tamba kipindi hicho,marefa wanawabeba makupuni yanaingila kwenye utowaji wa tuzo ili wapate kuuza.
Messi kacheza kipindi Roberto yupo kwenye form au Robert anayeeelekea ukingoni?
DIEGO MARADONA ndiyo the greatest player of all- time IMO
Tafuta hizi game:
Barcelona Vs Madrid- 1983
Barcelona Vs Bilbao- (same year I think)
Argentina Vs England- 1986..
Argentina Vs Belgium- 1982
Napoli Vs Milan- 1988 na zingine kibao.
Alifunga goal dhidi ya England mwaka 1986, ambalo ndiyo linatambulika kama "goal of the Century"(kama ni mvivu wa kutafuta Full recorded matches, unaweza ukaliangalia Youtube) alikimbia na mpira kwa umbali wa yard 60+ mpaka kwenda kufunga, akiwapita wachezaj kibao wa England (5-6), nadhan Messi alishawahi fanya hivyo dhidi ya Getafe (??)..ilikuwa ni Getafe nadhani.
The difference is Maradona wakat yupo kwenye his prime hakukuwa na wide medias coverage, twitter, facebook, instagram, well and advanced soccer forums, inshort hakukuwa na social networks coverage ilikuwa ndogo sana wakat ule..Ronaldo and Messi are enjoying matunda ya technologcal advancement (hasa hasa katika upande wa social networks)..