BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Jun 23, 2016 #101 kitwala said: Yule mkwepa kodi ni dhambi kubwa kumlinganisha na Pele. Click to expand... Dunia inawatambua wafalme wa soka ni wawili tu kuwahi kutokea; Messi na Maradona, japo Messi kishamzidi mbali tu maradona....ila hao wengine ni wasindikizaji tu kwanzia pele na wenzake,
kitwala said: Yule mkwepa kodi ni dhambi kubwa kumlinganisha na Pele. Click to expand... Dunia inawatambua wafalme wa soka ni wawili tu kuwahi kutokea; Messi na Maradona, japo Messi kishamzidi mbali tu maradona....ila hao wengine ni wasindikizaji tu kwanzia pele na wenzake,
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Jun 23, 2016 #102 BAK said: Wote tisa kumi ni GAUCHO Click to expand... Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani?
BAK said: Wote tisa kumi ni GAUCHO Click to expand... Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 23, 2016 #103 Mitazamo inatofautiana siyo kila watu huwa na mtazamo mmoja kwenye kila kitu. BlackPanther said: Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani? Click to expand...
Mitazamo inatofautiana siyo kila watu huwa na mtazamo mmoja kwenye kila kitu. BlackPanther said: Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani? Click to expand...
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,544 Jun 23, 2016 #104 BlackPanther said: Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani? Click to expand... CC @ Gangchomba
BlackPanther said: Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani? Click to expand... CC @ Gangchomba
upcoming billionare Member Joined Jun 16, 2016 Posts 68 Reaction score 39 Jun 23, 2016 #105 mbna mnamdharirisha sana messi kumfananisha na ronaldo, ronaldo size yake ni lewandoski au muller....messi hatari sana yule mtoto...ukisikia mpaka mourinho na diego simeon wananyosha mikono kwa messi...ujue huyo dogo ni hatari
mbna mnamdharirisha sana messi kumfananisha na ronaldo, ronaldo size yake ni lewandoski au muller....messi hatari sana yule mtoto...ukisikia mpaka mourinho na diego simeon wananyosha mikono kwa messi...ujue huyo dogo ni hatari