Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

Hivi Messi ni bora kuliko Pele, Maradona, Zico, Platini?

Yule mkwepa kodi ni dhambi kubwa kumlinganisha na Pele.

Dunia inawatambua wafalme wa soka ni wawili tu kuwahi kutokea;

Messi na Maradona, japo Messi kishamzidi mbali tu maradona....ila hao wengine ni wasindikizaji tu kwanzia pele na wenzake,
 
Mitazamo inatofautiana siyo kila watu huwa na mtazamo mmoja kwenye kila kitu.

Hahahaaa sasa huyu gaucho hajafikia hata robo ya akina maradona, vipi umlinganishe na King Messi si vichekesho jamani?
 
mbna mnamdharirisha sana messi kumfananisha na ronaldo, ronaldo size yake ni lewandoski au muller....messi hatari sana yule mtoto...ukisikia mpaka mourinho na diego simeon wananyosha mikono kwa messi...ujue huyo dogo ni hatari
 
Back
Top Bottom