Mwanyoro
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 635
- 457
Nikiwa kama mchezaji mpira niliyecheza mpira kwa kiwango cha juu naunga mkono hoja.
Aaah Mhe George Masatu upo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa kama mchezaji mpira niliyecheza mpira kwa kiwango cha juu naunga mkono hoja.
Messi is the best footballer ktk historia ya mchezo huu wa mpira tokea uanze..!!!
They call him Magician, Messiah, the gifted, etc etc...he usually humiliates GREAT PLAYERS na kuwaaibisha kabisa...
He is very talented footballer...!!!
mkuu mm binafsi sikumuona pele platin na zico hila maradona lakini video clips zao zipo na tunaziangalia messi kweli anatishaNi vigumu kulinganisha moja kwa moja watu waliocheza era tofauti ila kwa era yake ni bora zaidi. Kwa kuwa msemaji kawashuhudia wote na katoa mtazamo wake nadhani yupo sahihi
Messi is the best footballer ktk historia ya mchezo huu wa mpira tokea uanze..!!!
They call him Magician, Messiah, the gifted, etc etc...he usually humiliates GREAT PLAYERS na kuwaaibisha kabisa...
He is very talented footballer...!!!
Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni bora zaidi.
Messi huyo huyo ndie anayevunja rekodi za akina Pele na Zidane na Ronaldinho. Mpira ni zaidi ya mbwembwe uwanjani, ule mpira wa kucheza na jukwaa haupo tena siku hizi.
Ni kipi De Lima kafanya ambacho Messi hakiwezi!?
za offside 900
unataka matukio? hakuna njia nyingine ikiwa ni matukio angalia Ronaldo wa Barca kisha.. wa inter kisha Madrid... tazama uwezo binafsi wa phenomena.
kucheza mpira hata mchangani watu wanacheza ukisema kipi Ronaldo kafanya messi kashindwa huku ukiwa na moyo wa kuwa yeye ni mchezaji na Ronaldo ni mchezaji bila kuwaangalia wote wawili utakuja na jibu rahisi.
ila labda nikuulize uzuri mpira kwako unaupima kwa lipi?