Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui? Wanaanzisha vyama ili wapige hela!Siku nikipata nafasi ya kushauri vyama vyote nitawaambia jambo moja tuu ruzuku isitishwe mara moja kwa vyama vyote vya siasa ili kama mtu au kikundi kikianzisha chama kiwe na uchungu wa kuwatetea wananchi moyo wa dhati
Vipo vyama vunapata ruzuku kutwa kucha kuzunguka kuanzisha mijadala isiyo na tija kwa wananchi kisa ruzuku
Kwani mnaanzisha vyama ili mlipwe au muwakomboe wananchi pale tawala z8naposhindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi?
Au mnaanzisha vyama ili mpate ruzuku?Swala la ruzuku linapofusha maana halisi ya vyama vya uoinzani
Na hapo ndipo watawala wanapotupiga fimbo mpaka tushakomaa