Hivi mgawanyo wa ruzuku ya CHADEMA 2.72 Billioni uliendaje?

Kuna watu wanajisikia vibaya chadema kupata ruzuku kiukweli mtapasuka hata hivyo waweza mshauri babako aanzishe chama mkifanikiwa kukubalika level ya kitongoji nitafute msifikir kuanzisha chama Hadi kuenea nchi nzima ni mchezomchezo
 
Nenda ofisi zao mahakama kuu ukawaulize wenyewe

Ova
 
Wewe hujui? Wanaanzisha vyama ili wapige hela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…