mimiMEE anaweza kutegemeana na extent ya athari !!!!! Nashauri asianze mpaka aonane na cardiologist ili kupata vipimo na ushauri SPECIFIC kwa ugonjwa wake na kiasi gani umemuathiri!!!!!!!
mimiMEE anaweza kutegemeana na extent ya athari !!!!! Nashauri asianze mpaka aonane na cardiologist ili kupata vipimo na ushauri SPECIFIC kwa ugonjwa wake na kiasi gani umemuathiri!!!!!!!
Ni muhimu sana kushauriwa na dr kabla ya kuanza mazoezi. Japo zoezi rahisi zaidi ambalo halimdhuru yeyote unless ana shida ya mifupa ni kutembea. Kila siku walau kwa dakika 30 atembee haraka kiasi kwa jinsi upumuaji wake unavyoruhusu.
kuna baadhi ya gym zinakuwa na daktari ambae anawaona na kuwashauri wateja kabla na maendeleo yao kwa kufanya mazoezi. Lakini bado, azungumze na daktari wake na ashauriwe kabla hamjatia ufundi