Hivi mgonjwa wa moyo ni sahihi kwake kufanya mazoezi?

Hivi mgonjwa wa moyo ni sahihi kwake kufanya mazoezi?

mimiMEE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
285
Reaction score
102
Habari wana jukwaa,nisaidieni hapa, hivi mgonjwa wa moyo ni sahihi kwake kufanya mazoezi, lets say yuko na overweight anaruhusiwa kufanya mazoezi?
 
Ugonjwa wa moyo upi????

Angina???!!
Failure???!!
Valvular???!!!

Maana hata hypertension unaitwa ugonjwa wa moyo huku kitaa???!!
 
mimiMEE anaweza kutegemeana na extent ya athari !!!!! Nashauri asianze mpaka aonane na cardiologist ili kupata vipimo na ushauri SPECIFIC kwa ugonjwa wake na kiasi gani umemuathiri!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ni muhimu sana kushauriwa na dr kabla ya kuanza mazoezi. Japo zoezi rahisi zaidi ambalo halimdhuru yeyote unless ana shida ya mifupa ni kutembea. Kila siku walau kwa dakika 30 atembee haraka kiasi kwa jinsi upumuaji wake unavyoruhusu.

kuna baadhi ya gym zinakuwa na daktari ambae anawaona na kuwashauri wateja kabla na maendeleo yao kwa kufanya mazoezi. Lakini bado, azungumze na daktari wake na ashauriwe kabla hamjatia ufundi
 
Back
Top Bottom