Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP Sirro?

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,183
Reaction score
1,322
Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari ipo mahakamani.

Sijui kwa kutojua au uzembe wa kufikiri kwamba kesi ikishafika mahakamani sio jambo la busara kwa mtu au kiongozi yeyote yule kuzungumzia suala hilo, Hivi majuzi
tumesikia akiwakashifu wakina mama wetu kwamba wasije wakatuzalia mtoto kama gaidi hamza.

Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP SIRRO , inabidi umpuzishe kwa haraka sana kwa manufaa ya TAIFA huenda ikawa ubongo wake ndio umefika kikomo
 
Mtihani kwa kweli, kwa sababu unabeb mtoto tumboni hujui atakuja kuaje zaidi ya kumwomba Mungu amfanye kua mtoto mwema,
Kwa kauli yake aliyotoa hata sisi tunasikitika yeye kuzaliwa
Yeye mwenyewe Ana Toto la kiume bogus kwelikweli ukiambiwa maboko yake utashangaa Leo anasema watoto wawatu utadhani yeye sio mzazi
 
Wiki iliyopita Rais aliwataka polisi wasitumie nguvu, vifo vya mahabusu katika vituo vya polisi havileti picha nzuri katika sura ya jeshi.

Sirro amemjibu, mnataka tusitumie nguvu lakini yakitokea hakuna anaehoji haki ya polisi. Kus iwe na double standards.
 
Yeye mwenyewe Ana Toto la kiume bogus kwelikweli ukiambiwa maboko yake utashangaa Leo anasema watoto wawatu utadhani yeye sio mzazi
Nyani haoni nini tena.? Kazi iendelee 4yrs to 2025
 
Wiki iliyopita Rais aliwataka polisi wasitumie nguvu, vifo vya mahabusu katika vituo vya polisi havileti picha nzuri katika sura ya jeshi.

Sirro amemjibu, mnataka tusitumie nguvu lakini yakitokea hakuna anaehoji usalama wa polisi.
Ngoma saiv zinavuma sanaaaa 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…