Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP Sirro?

watu wasio na uadilifu wanapewa vyeo vikubwa ndio madhara yake.
 
Hamna Rais pale.Mtu anasema kama hutaki hiki hamia BURUNDI bado anaendelea kudunda sembuse huyo
 
Yawezekana labda ndio maana marehem Hamza alikuwa anamtaka Sirro mwenyewe. Nataman Kama wangeonana ingekuwa show show kuliko Hawa Askari wetu 4 wasio kuwa na hatia jaman
 
Mama yenu keshakata moto..aliingia kwa mbwembwe akidhani akina jiwe walikuwa wajinga walivyoamua kujitoa akili ili waweze kuongoza hii nchi kibabe.
 
Kwani wewe ulisikia matamshi ya Siro pekee juu ya kesi ya Mbowe, na yale ya 'Mazia Mizinguo' kuhusu kesi hiyo hukuwahi kabisa kuyasikia?

Masikio yako yanachuja taarifa za kusikia toka kwa wahusika wanaotoa matamshi ya aina moja juu ya jambo hilo hilo, au ni unafiki tu ndio unaokusumbua hapa!
 
Kwa kauli zake alipaswa kuachia ofisi.
 
Mh, kuna haja ya kumjua rais wa tanzania ni nani
Mimi ni watu nilimetokea kumpenda Mama toka siku ya kwanza lakini kila siku zinavyokwenda naanza kutia mashaka mapenzi yangu nashindwa kumtetea nahisi kuna udhaifu mkubwa na sielewi na sina uhakika kama akiendelea na ukimyaa huu na kujifanya yeye Mama muungwana basi nchi itamshinda mapema. nchi inataka kiongozi akitoa maagizo yanatekelezwa sio kauli kama " nawaomba polisi msifanye hivi" nawaomba jamani msifanye hivi hizi kauli utadharauliwa maana umeomba na ombi lina kukubaliwa na kukataliwa. Rais ni mamlaka sio naomba jamani naomba jamani nawaomba kauli za mtu asiyekuwa na mamlaka.
 
Kwa
Kwa hiyo nyie wabongo hamtaki kuambiwa ukweli hata siku moja.Inaonekana MNA matoto mengi ya hovyo huko majumbani.Halafu watanzania ,ni wanafiki sana sana.Yaan huyo Hamza anapiga watu risasi hovyo hovyo ,mnamtetea.Ukweli utabaki ukweli ,kwamba Hamza alikuwa MTU wa hovyo hovyo.Na kwamba wabongo punguzeni kufyatua matoto ya hovyo.Ni ukweli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…