Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Huwa nikiangalia MJ alivyotumia talanta yake kuusaidia ulimwengu huu na kufikisha jumbe na prophecies lkn watu wanavyokuja kumchafua ndipo nakumbuka duniani hapa jipiganie ww tu na labda circle yako.Ilichukuliwa Tanzania; ile sehemu ya Elephants na forest
MJ alikuwa anaipenda sana Africa
Wengi wanadhan MJ alikuwa anajichubua but uzushi mtupu
MJ had skin disorder, Virtiligo , skin disorder that destroys pigmentation
Hizo story kuwa aliona TZ chafu ni story za Chadema na Tundu Lissu
Ngoma kama Earth song, ile ni prophecy, we're the world, heal the world, hamna msanii dunia hii aliofanya hayo. Lkn leo hii MJ anaonekana kama alichukia weusi na masikini wakati alikua ni mtu mwenye upendo sana kwa wasio jiweza