Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
- Thread starter
- #21
Sio mtu maarufu mi niko humu toka 2012 ndo nakuskia leo
Sent using Jamii Forums mobile app
[Unashinda MMU utanijuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mtu maarufu mi niko humu toka 2012 ndo nakuskia leo
Sent using Jamii Forums mobile app
[Unashinda MMU utanijuaje?
Kwani MMU ni jukwaa la kijinga? Niko jukwaa zote hadi za members only najua kina kiranga,mshana,mwanakijiji,daby,khatwe,mzigua90 ,mrangi ;gudume etcna wengine kama 50 ila ww cjapata kukusikia kabisaUnashinda MMU utanijuaje?
Wivu wa kike ndio maana gentamycine anawapa makav watu kama nyieKwani MMU ni jukwaa la kijinga? Niko jukwaa zote hadi za members only najua kina kiranga,mshana,mwanakijiji,daby,khatwe,mzigua90 ,mrangi ;gudume etcna wengine kama 50 ila ww cjapata kukusikia kabisa
Kawaida huwezi ona uso wako bila kioo, kwa mantiki hiyo, huwezi kujua mwenyewe upo je hadi sie tukueleze. Hilo swali lako usije kuliuliza tena maishani mwako. Ni swali la kitoto, upo hivyo ndivyo ulivyo! Aidha acha kusaka sifa kama akinamamaNakubali sifa zote sio za kunitweza
Naona unataka nikuingizie tigo pesa tuma nambaKawaida huwezi ona uso wako bila kioo, kwa mantiki hiyo, huwezi kujua mwenyewe upo je hadi sie tukueleze. Hilo swali lako usije kuliuliza tena maishani mwako. Ni swali la kitoto, upo hivyo ndivyo ulivyo! Aidha acha kusaka sifa kama akinamama
Dah, vipi michepuko nayo umeacha?ha ha ha nimestaafu kutumia mkuu,ningelikuwa bado natumia ningekupatia moja.
My dada unanifurahishaga vile uko positive wakati wote. Hivi huwa unakasirika?Well yawezekana nilishakusoma michango yako ila kumbukumbu haijavuta kukukumbuka, si mbaya kwa vile akili yangu imekita kusema kuwa ndo nakuona hapa kwa mara ya kwanza, unaonekana unajiamini.
Usirudi nyuma kwenye hilo.
Enjoy your weekend.
Cheers!!.
ha ha ha si unajua nywele zimeshaanza kuwa nyeupe,umri wa lala salama;kwa hiyo inabidi mambo mengine tuyapunguze
Hujajibu swaliha ha ha si unajua nywele zimeshaanza kuwa nyeupe,umri wa lala salama;kwa hiyo inabidi mambo mengine tuyapunguze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ungekuwa mwalimu ungenipa marks ngapi?
[emoji16][emoji16][emoji16] mwenza unapenda ugomvi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafurushi, watakuwa mapacha tu.
ha ha ha ungekuwa unawafelisha sana wanafunzi
Ila bora umerudisha hili jina mwenza, lile hapana[emoji134]
Wanafunzi vilaza nawafyekelea mbaliha ha ha ungekuwa unawafelisha sana wanafunzi