Kazi ya kiwanda cha NIDA pale TOT ndiye mchafuzi mkuu. Mwambie Jafo awatembelee wamuoneshe wanako mwaga maji machafu.Kwa jinsi ilivyo michafu hata Samaki wenyewe wameghairi kuishi humo.
Ule Mto pale Kigogo mwisho ukipita SAA 9:30 unakuta maji mekundu, SAA 11:00 maji ya Buluu, SAA 13:32 maji meusi, SAA 15:02 maji mekundu, SAA 16:13 maji ya Njano.
Sasa hapo Samaki gani mjinga atakubali kuishi kwenye maji yanabadilika badilika kama Kinyonga?