Hivi mito ya Dar ina samaki?

Kazi ya kiwanda cha NIDA pale TOT ndiye mchafuzi mkuu. Mwambie Jafo awatembelee wamuoneshe wanako mwaga maji machafu.
 
Samaki wa baharini mmewamaliza wote!!!?
 
Dar ni vinyesi tu kila sehemu hata mboga za majani zenyewe zinamwagiliwa na maji yenye vinyesi.Huwezi Amini hata mitaa mizuri ya upanga kama ule mtaa wa jirani na mtaa wa mfaume ni maji tu ya vinyesi yanatiririka
 
Mito ya misimu, samaki wa msimu...

Ila kwa sasa inajaa sana takataka...
 
Dar hakuna mito kuna vidimbwi vya maji tope.
 
Ni kweli kabisa hayo maeneo nayajua ola uzembe niwa serikali haiwezekani waruhusu viwanda kuachilia maji taka bila ya kuyatibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…