Hivi Mjini Kuna Nini!!!

Kusema ukweli vijiji vyetu vinazidi kudorora hela ni ngumu kupatikana ndo maana unaona watu kukimbilia mjini ambako nako maisha si mepesi ila hela ukipigika inapatikana......but honestly sionagi maisha ya mjini kama yana uzuri zaidi ya hela,kazi na pengine na kampani.......
 
Mkuu uliyosema ni hakika kabisa, xmass nilienda kula kijijini yaani vijana wote hawapo wako mijini na kibaya wameacha wake zao na watoto wanahangaika.
Nahii inaweza kupelekea huko mbeleni tukaja kosa wakulima na kusababisha upungufu wa vyakula nchini.
serikali hainabudi kutengeneza mazingira ya kuwashawishi vijana kubaki vijjni
 
Ahahahahaaah kinachoumiza ni wake na watoto wanaotelekezwa huko vijijini.
 
Swali ni kwamba kwa nini hao wanaokimbilia mjini wanawatelekeza wake na watoto wao huko vijijini ambako maisha ni magumu?
 
Swali ni kwamba kwa nini hao wanaokimbilia mjini wanawatelekeza wake na watoto wao huko vijijini ambako maisha ni magumu?

wakienda mjini mahitaji ya kimwili hayabaki vijijini,wanakutana na wanawake na wanaume na kama mtu hana busara na akili au yule wa kijijini ashamchosha ndo kabisaaaa:embarrassed:
 
duh wewe ni BABAUBAYA kweli, hapo n imekukubali
 
maisha popote bora mkono uende kinywani
 
Ndio maisha ni popote lakini kwa nini hawahami na familia zao kwenda huko mjini?

ngumu kuhama na familia maana wanafikia geto kwa masela au kwa ndugu. Sasa nani atakupokea hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…