Hivi mjini matajiri wanaishije? Kiukweli kila nikiwatazama kulinganisha na hali yangu, naishia kusema maisha ni fumbo!

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu.

Just see few Case studies

- Mtu ana mabasi 7 isitoshe amechukua mkopo mrefu benki, marejesho kila mwezi bahati mbaya basi tatu zinakula mbanga bila kutarajia. Lakini cha ajabu unamkuta tajiri ana kula maisha party after party hawazi.

- Kuna wale matajiri waliofilisiwa kipindi cha JPM kwa makosa ya uhujumu uchumi. Mali zao nyingi zilitaifishwa but tuna kutana nao as if nothing happened 😁😁 na wanapambana kama hamna kilichotokea.

Kuna wenzangu na Mimi unapambana unapata hela kiasi flani unaanzisha mradi wako bahati mbaya ukifeli na wewe umefeli na inakuwa ni simulizi ya Karne kwa kila mtu 😁😁😁

Hakika nihitimishe kwa kusema maisha ni fumbo gumu sana ndugu zangu.
 
- Kuna wale matajiri waliofilisiwa kipindi cha JPM kwa makosa ya uhujumu uchumi. Mali zao nyingi zilitaifishwa but tuna kutana nao as if nothing happened [emoji16][emoji16] na wanapambana kama hamna kilichotokea.

Kuna wenzangu na Mimi unapambana unapata hela kiasi flani unaanzisha mradi wako bahati mbaya ukifeli na wewe umefeli na inakuwa ni simulizi ya Karne kwa kila mtu [emoji16][emoji16][emoji16]

Hakika nihitimishe kwa kusema maisha ni fumbo gumu sana ndugu zangu.
Upo pazuri kama umefikia hatua ya kukutana na watu wa aina hiyo kwenye kula bata, yaani unaweza ku afford bills za viwanja wanavyo afford hao madon.
 
Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu.

Just see few Case studies

- Mtu ana mabasi 7 isitoshe amechukua mkopo mrefu benki, marejesho kila mwezi bahati mbaya basi tatu zinakula mbanga bila kutarajia. Lakini cha ajabu unamkuta tajiri ana kula maisha party after party hawazi.

- Kuna wale matajiri waliofilisiwa kipindi cha JPM kwa makosa ya uhujumu uchumi. Mali zao nyingi zilitaifishwa but tuna kutana nao as if nothing happened 😁😁 na wanapambana kama hamna kilichotokea.

Kuna wenzangu na Mimi unapambana unapata hela kiasi flani unaanzisha mradi wako bahati mbaya ukifeli na wewe umefeli na inakuwa ni simulizi ya Karne kwa kila mtu 😁😁😁

Hakika nihitimishe kwa kusema maisha ni fumbo gumu sana ndugu zangu.
jungu kuu halikosi ukoko mkuu!
pesa ukishajua njia zake haikutupi kamwe.

matajiri wanasurvive kwa deals biashara sio kwamba zinafaida sana ila zipo pale kuwalinda tu.
 
Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu.

Just see few Case studies

- Mtu ana mabasi 7 isitoshe amechukua mkopo mrefu benki, marejesho kila mwezi bahati mbaya basi tatu zinakula mbanga bila kutarajia. Lakini cha ajabu unamkuta tajiri ana kula maisha party after party hawazi.

- Kuna wale matajiri waliofilisiwa kipindi cha JPM kwa makosa ya uhujumu uchumi. Mali zao nyingi zilitaifishwa but tuna kutana nao as if nothing happened 😁😁 na wanapambana kama hamna kilichotokea.

Kuna wenzangu na Mimi unapambana unapata hela kiasi flani unaanzisha mradi wako bahati mbaya ukifeli na wewe umefeli na inakuwa ni simulizi ya Karne kwa kila mtu 😁😁😁

Hakika nihitimishe kwa kusema maisha ni fumbo gumu sana ndugu zangu.
Kuna watu duniani hapa UCHUMI UMEWACHUMU
 
Kuna wale matajiri waliofilisiwa kipindi cha JPM kwa makosa ya uhujumu uchumi. Mali zao nyingi zilitaifishwa but tuna kutana nao as if nothing happened
Mara nyingi hawa wanakua ni watoto wa mjini hawawezi pewa headache na vitu vidogo kama hivo, kipindi kile cha Nyerere na sera zake watu walipoteza Mali zao nyingi watoto wa mjini Kawa kawaida yao walitulia tufani ilipotulia waliokuepo hai walirudisha kila kitu chao walichopokonywa, kipindi Cha Magu watu walipokonywa Hela zao bureau de Change walifanyiwa umafia baada ya Mzee kulamba tope wajanja walirudisha kila kilicho chao
 
Yanipasa kufanya nn, kufuafa njia gani/zipi hadi kuwa mtoto wa mjini.. Janja janja ili kuweza kutana na hizo fursa/koneksheni?
 
Navyojua kuna watu wa aina mbili

Ambaye anauwezo wa kupoteza kila kitu na akakipata na zaida

Na ambae akipata akipoteza hapati tena anabaki na story za kuahdithia watu kuwa niliwahi kuwa na hela.

Everything in life connected
 
Back
Top Bottom