Hivi mjini matajiri wanaishije? Kiukweli kila nikiwatazama kulinganisha na hali yangu, naishia kusema maisha ni fumbo!

Navyojua kuna watu wa aina mbili

Ambaye anauwezo wa kupoteza kila kitu na akakipata na zaida

Na ambae akipata akipoteza hapati tena anabaki na story za kuahdithia watu kuwa niliwahi kuwa na hela.

Everything in life connected
Hao ambao wakipoteza ndo kina sisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Backup Generator umeme ukizima ghafla inawaka hapo hapo na umeme ukirudi inasubiri kipindi kidogo inajizima yenyewe, ndio hivyo nimekufafanulia sasa km huna backup Generator imekula kwako usishangae sana matajiri wana umoja wao wanapeana tag kunyanyuana mmoja wao anapofeli hawapo pekeyao wapo kundi unaweza kuta matajiri 100 wameungana hao 100 wakimchangia tajiri mwenzao mmoja aliekwama hata milioni 50 50 tu mwenzao anarudi kwenye mstari then atakua anarejesha taratibu taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…