Hivi mke wa Rais analipwa mshahara?

Nilikua nawaza tu huo mshahara naupokea wa nini??
yaani kua first Lady ni Cheo, Majukumu au nini??

Ila kweli, yaani kuwa first lady ndiyo alipwe...mshahara. Je, katiba zinaelekeza hivyo. Haya mambo tatizo ukihoji, unaweza kupimwa mkojo...
 
Kama hutojali nitajie Jina la sheria na kifungu chake
 
@Gentamycin njoo umshauri Rais asitishe mshahara kwa first lady huenda akakusikia, mimi natangulia kijiweni saigoni.
 
sijui huko kwenu tanzania huku kwetu marekani first lady halipwi
Nasikia Marekani hata chakula cha raisi na familia yake anagharimikia kutoka kwenye mshahara wako.Hiyo ni Marekani sio lazima tufanane nao sisi tufuate yetu si ajabu mshahara wa raisi wao ni mkubwa na marupurupu mengine
 
Analipwa Mkuu,na unawazidi walimu wote Tanzania hakuna anayemfikia.
Ss sijui kw kazi gn?
kwasababu huwa haruhusiwi kufanya kazi yoyote zaidi y za mumewe au kujitolea xo wanampa mshahara kwa kumzuia asifanye shughuri zake zingine za kumuingizia kipato chake
 

Kwanza kodi gani unalipa wewe. Kama wewe unaonga Bar maid tu laki. Itakuwaje mke wa Mjomba wako. Hivi mnaelewa kweli cheo cha Rais Au tukupeleke Zimbabwe .kila mtz kodi zetu zipi hizo.
 
Kwanza kodi gani unalipa wewe. Kama wewe unaonga Bar maid tu laki. Itakuwaje mke wa Mjomba wako. Hivi mnaelewa kweli cheo cha Rais Au tukupeleke Zimbabwe .kila mtz kodi zetu zipi hizo.

Nilifundiswha kusikiliza, kutafakari ndipo nijibu. Hapa kwa kuwa nasoma na si kusikiliza, basi nimesoma nimetafakari na nimeona hakuna haja ya kukujibu. Asante tu kwa maoni yako.
 
Mshahara utakuwepo kwa ajili ya Kinit kinati kinit kinati haki za msingi kwa mzee ni muhimu sasa haiwezekani, ajali afya, Amlishe ,Am kinit Kinat alafu asilipwe
 
Mimi naunga mkono yeye kupewa hata posho kumbukeni yeye ni kipunguza pressure cha mkuu wetu anapotindikiwa na majukumu.Kazi ya uraisi ni ngumu sana
Kama kazi ya urais ingekua ngumu wanasiasa wasingegombania kuingia Ikulu
 
Katiba inasema hivyo au mazoea tuliyojizoesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…