Hivi mke wa Rais analipwa mshahara?

Mbona hawaji jamani....tunasubiri jibu tupo wengi
 
Kama hutojali nitajie Jina la sheria na kifungu chake
Political Leaders Retirement Benefit Act, ndio sheria ambayo ingalau imetamka wazi malipo ya mwenza wa Rais, na malipo yenyewe ni baada ya huyo kiongozi kufariki ndipo mwenza wake huendelea kulipwa nadhani asilimia 80 ya kile alikuwa akipata kiongozi mpaka naye atakapofariki.
 
Ni 30%
 
MKE WA RAIS NI KAMA RAIS TU MKUU. KUHUSU MAKATO MSHAHARA WA RAIS HAUNA MAKATO. HATA WABUNGE HAWAKATWI
 
MKE WA RAIS NI KAMA RAIS TU MKUU. KUHUSU MAKATO MSHAHARA WA RAIS HAUNA MAKATO. HATA WABUNGE HAWAKATWI
 
Sawa mkuu nimekupata vyema
 
Mshahara sina uhakika ila mafao analipwa mpaka siku anaondoka duniani ,ila kimantiki huwezi kulipwa mafao kama hufanyi kazi kwa hiyo inawezekana analipwa mshahara pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…