kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Wahi asubuhi hii kamuone Balozi wako chap kabla hajaenda Jumuiya!😡😡😡😡Habari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na genye sio poa,si ni kawa namuomba wife anipe k,akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu,kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Nenda kwa ex wako. usilamazimisheHabari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na genye sio poa,si ni kawa namuomba wife anipe k,akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu,kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Yani men aolewe?Kwanini usitafute mume uolewe?
Mwambie schezi tena na wewe afu ukamsemehe kwa mamaHabari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na genye sio poa,si ni kawa namuomba wife anipe k,akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu,kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Kanyimwa "K",kwa nini asichukue "L"?Nenda kwa ex wako. usilamazimishe
Umeolewa?Katika kosa sitawahi fanya ni kumnyima Mume wangu.