Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Hilo swali la kuuliza mwanaume?Yani men aolewe?

Ubarikiwe sana we binti, umeyajua ipasavyo majukumu yako.Katika kosa sitawahi fanya ni kumnyima Mume wangu.
X wako yupo wp?Habari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na genye sio poa,si ni kawa namuomba wife anipe k,akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu,kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Hii ndio permanent solution 😃Mtafutie mke mwenza
Easy! Piga pully!Habari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na genye sio poa,si ni kawa namuomba wife anipe k,akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu,kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
NdioUmeolewa?
Shemej anafaidNdio
Tafuta mchepuko inasaidia sana kuepusha mambo mengiHabari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Akikunyima na wewe myimeHabari za leo watu wa humu.