Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

Kumnyima k mume wako kabisa ni ukatili na dhambi mbele ya Mwenyezi .afadhali awe sio mumeo.
Maandiko yenyewe yanasema msinyimane isipokuwa mmepatana.

Nafikiri wanaume wanaopitia changamoto ya kunyimwa ni zaidi ya 50% ni vile Wanaume hawapendi kusema hadharani mambo ya ndani. Na hii imechangia kwa baadhi ya wa baba kutafuta suhuhu nje ya utaratibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…