Hivi mkishapata pesa na magari hao wanawake mnawapataje?

Exactly.
 
Dunia ya leo bado kuna mtu anaangaika na jinsi ya kupata binti! Mbona kama ni wepesi mno hadi mtu anahamua kuwa nao zaidi 10+ wewe unashindwa nini kupata mmoja unayemtaka au huyo umtakaye ana kipande cha gold huko chini?
 
Ukisikia uchawi wa kizungu ndo huo rafiki yangu alikuwa na usafiri Chuoni aisee alikuwa anawala kama chips kuku kaka yake alipogundua alinyang'anywa maana angekufa mapema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na usafiri na chenchi chenchi lakini. Maana ukiwa na usafiri bila facilitation fees pia unaweza usifanikiwe kuinjoy maisha.
 
Unataka kufa ww A1 ya kutongoza mmmmh utatukanwa
 
Dunia ya leo bado kuna mtu anaangaika na jinsi ya kupata binti! Mbona kama ni wepesi mno hadi mtu anahamua kuwa nao zaidi 10+ wewe unashindwa nini kupata mmoja unayemtaka au huyo umtakaye ana kipande cha gold huko chini?
Aisee jamaa una mambo ya ajabu ww
 
Aaaaw niende kwenye nyuzi fulani ya kiduku lilo nikapate kozi...!
 
Asantee japo tangawazi kwenye chai yetu ulizidishaa mkuu inawasha kama pilipili

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu binafs sijawahi kufikiri kutumia (Pess au Gari) kufanya ushawishi kwa mwanamke.. sio muumini wa hiyo formula...

Mie naingiaga in low key.. (acting sina kazi , sina gari sina chochote) Na ninawalapua vzr sana....

Wife mtarajiwa nitamuektia kias kwamba anipendee mimi kama mimi na sio pesa au gari..
 
Mkuu Tena ukiwa mwepesi show nyingi unamakizia kwenye gari wazee wa kulaza siti [emoji1] noma Sana achana na zile dhama eti waitia nuksi gari case study gari yangu nagongea mwaka wa tano huu sijawahi hata chubuliwa rangi offcourse ndinga zinarahisisha michakato na zinapunguza kujieleza Sana unaeleweka mapema kuliko ukiwa unaruka regge
 
Hapa sasa hio MB kule nje ilihusika vipi? Maana ndani ya club ulikuwa na pesa na iphone tu gari uliacha nje.
 
Mm napenda sana pikipiki, ndy maana kama shemeji yako anakuja kunichukua namwambia uje na pikipiki.
 
Ila
Siyo kila mwanamke anapatikana ukiwa na pesa au ukiwa na gari, unaweza ukawa na vyote na kama sijakupenda sijakupenda tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kukutomba atakutomba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…