TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Exactly.gwankaja, Kutongoza ni Sanaa kubwa kama zilivyo Sanaa zingine.
Kuwa na pesa na gari haipunguzi hata chembe ya wewe kutoitumia sanaa yako.
Miaka ya nyuma kidogo brother wangu alitembelea gari zake. Alikuwa anapata wanawake wa kawaida sana.
Kila Alipoona mtoto mrembo niliyenaye alikuwa anabaki na maswali mengi na kujiuliza nawatoaga wapi wakati sina gari!
Ukiwa na gari na pesa pia ujue hata kuchagua warembo wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app