Hivi mkishapata pesa na magari hao wanawake mnawapataje?

Hivi mkishapata pesa na magari hao wanawake mnawapataje?

Nimesoma uzi na comments. Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kutongoza mademu kwa niaba ya mtu halafu najipatia malipo. Au kuanzisha app ya kutongoza mademu.

Wadau mnaonaje wazo langu la biashara.
Hahahah mzee wa fursa, hio kitu ipo sana hapa town japo ni un_official ila kuna kundi la vijana wanaitwa "Chawa!" Hawa jamaa huzunguka na maboss ama watu wenye hela wakuitwa "wakulungwa"!

Wakulungwa hununua bia na ku sponsor bata zote weekend ila kazi ya chawa ni kuhakikisha mkulungwa anapata mademu akihitaji. Ndio ishu inavyokuwa.

So wazo lako ni zuri mkuu ila ungeanza kama Chawa ingekuwa freshi sana.
 
Hivi Mnavoongea wahusika wenyewe Si wapo humu wanaona
Si watabadilika Sasa Wewe hawapendi Magari
Maana wataona mumeshawa-win
🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]
 
Extrovert,

Sema ubaya wa kutumia pesa na gari kama chambo ya kuvutia mademu ni kuwa mademu watakupendea hela, kwahiyo ukiishiwa na wao wanasepa, wakati we unatumia laki 3 mpaka umgegede demu, mwanaume anaependwa, anapewa papuchi ya Bure

Hlf kuna mademu wengine wakikuona hivo, wanakuchuna pesa wee na papuchi hawakupi Extrovert
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba hizo sio gari!

About confidence tupo pamoja, huwezi kuwa kinyonge wakati account inasoma 6 figures! Una mashine kali V6 kifuani! Mungu akupe nini af kama ni mtu unaejua ku Pop tags kwenye ma Botiques basi imeisha hio. Yani jinsi unavyonukia na smart looking ni pesa tupu.

The moment unafata manz na kumwambia dadaa samahan, mambo vipi?... tayari umemlegeza, baada ya siku 2-3 umemtimbia na Lexus na ameshajua unatokea kwenye ghorofa moja Posta City Centre mnapata Lunch Serena aisee need i say more?
You nailed it!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba hizo sio gari!

About confidence tupo pamoja, huwezi kuwa kinyonge wakati account inasoma 6 figures! Una mashine kali V6 kifuani! Mungu akupe nini af kama ni mtu unaejua ku Pop tags kwenye ma Botiques basi imeisha hio. Yani jinsi unavyonukia na smart looking ni pesa tupu.

The moment unafata manz na kumwambia dadaa samahan, mambo vipi?... tayari umemlegeza, baada ya siku 2-3 umemtimbia na Lexus na ameshajua unatokea kwenye ghorofa moja Posta City Centre mnapata Lunch Serena aisee need i say more?
👊👊👊
 
Ukiwa na hela mwonekano wako unajionyesha na hao manzi wanajua sana kunusa mwenye hela. Wee nenda sehemu zenye mkusanyiko wa hao manzi kama kwenye graduation, sehemu za kuabudu, harusi, viwanja vya starehe zenye hadhi ya manzi unayemtaka, mahofisini mida ya lunch au wakati wa kutoka kazini, n.k. Then, simama kwa mbali pitishapitisha macho utamuona atakayenasa nafsi yako then mfuatilie au ulizia wenyeji upate njia ya kumpata! Kaba ya hata kujua una gari au nyumba, mwonekano wako tu utamvuta na kujileta na hapo unaweza kujimwambafai. Then, akijua unafanyashughuri gani na una gari basi anakija mzima mzima bila kuvua viatu! Lakini wengine inabidi uwe na "swagger" za kiaina hapo ni wewe kijiongeza. Kama huwezi wako machalii unaweza kuwapa kazi kukuvutia manzi kama domo ni zitto!
ukishakuwa na umatemate...kila kitu kinakuja automatically!....mi huwa nastukia tu tumeshavua nguo
 
gwankaja, Kutongoza ni Sanaa kubwa kama zilivyo Sanaa zingine.
Kuwa na pesa na gari haipunguzi hata chembe ya wewe kutoitumia sanaa yako.

Miaka ya nyuma kidogo brother wangu alitembelea gari zake. Alikuwa anapata wanawake wa kawaida sana.
Kila Alipoona mtoto mrembo niliyenaye alikuwa anabaki na maswali mengi na kujiuliza nawatoaga wapi wakati sina gari!

Ukiwa na gari na pesa pia ujue hata kuchagua warembo wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kuwa nazo automatically unawapata

Mara paap upo lunch unaskia kaka tunaweza kukaa wote Mara paap anakuachia namb au anakwambia naomba nimdip mtu sina salio kumbe anajidibu

Au ukikaa ofsini unashangaa mmoja wa workmate wa kike anazidisha salama na ukaribu Mara siku moja nitakutembelea Mara Leo tusile hapa cafeterias za ofisi twende kwangu nimepika

Hapo anajua una gari na mshiko upo

Dadekii nimemiss haya mambo [emoji16][emoji16]

Hivi vitu ni automatic broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini unachangia, tamaa zinachangia, kuna Jamaa mmoja anawagonga kwa gari za kuazima gereji anakofanyia kazi,
Kuhusu pesa ni kwamba kuna watu wana magari lakini unakuta Kwenye akaunti ana Laki 8-9 hapo lakini kwa kuwa ana gari ataonekana kama ana 20M kwenye akaunti!
 
Back
Top Bottom